"MWINGI WA HABARI" 
Ni album mpya ya Hip-Hop MC toka Tamaduni Muziki " P The Mc Polymath " ambayo imesheheni nyimbo kumi na tisa (19)
Usisahau kupata nakala yako.
UKIWA MAENEO YA TMK..... MCHEKI NASH KWA ALBUM HII
 KINONDONI MPAKA MSASANI...... INGIA MSASANI CLUB ZIPO
 KIWALANI/UKONGA/VINGUNGUTI NA BUGURUNI MCHEKI "P THE MC  MWENYEWE 0717 254 451
SUPPORT MZIKI WA KWELI

 
  




