"MWINGI WA HABARI"
Ni album mpya ya Hip-Hop MC toka Tamaduni Muziki " P The Mc Polymath " ambayo imesheheni nyimbo kumi na tisa (19)
Usisahau kupata nakala yako.
UKIWA MAENEO YA TMK..... MCHEKI NASH KWA ALBUM HII
KINONDONI MPAKA MSASANI...... INGIA MSASANI CLUB ZIPO
KIWALANI/UKONGA/VINGUNGUTI NA BUGURUNI MCHEKI "P THE MC MWENYEWE 0717 254 451
SUPPORT MZIKI WA KWELI
No comments:
Post a Comment